Mwana wa mfalme huyo ambaye pia ni mfalme mtarajiwa
alitarajiwa kupakwa mafuta na kutawazwa katika kipindi ama baada ya maziko ya
babake, mfalme King Bhumibol Adulyadej, aliyefariki wiki tatu zilizopita,
kutokana na yeye mwenyewe kuomba muda wa kumuomboleza babake.
Mpaka sasa haijafahamika wazi, ni uhusiano wa namna gani mfalme huyo
mtarajiwa atakuwa nao baina yake na vikosi vya jeshi la serikali ambavyo hivi
karibuni vilikuwa vinaiongoza Thailand, ama ni namna gani atapokelewa na raia
wake.
No comments:
Post a Comment