Kocha wa klabu ya Manchester City, Pep Guardiola baada ya story nyingi
kuwa alikataa kumpa mkono mchezaji Cesc Fabregas baada ya mechi ya Jumamosi
kati ya Manchester City dhidi ya Chelsea, story nyingi zilitokea kuhusu jambo
hilo.
Kitendo
kile kilichukulia kama ni kuonyesha kukasilishwa na alichofanya Cesc kwa
kumsababishia mchezaji Fernandinho kupewa kadi nyekundu na nakutolewa.
Waandishi wa habari walimuuliza
swali hilo kocha Pep na hili ndio jibu lake “Nilimsalimia Cesc Fabregas tukiwa
kwenye changing room.Sikuweza kumuona pale uwanjani wakati naongea na wachezaji
wangu”.
Baada ya mechi hiyo kumalizika Pep
alikua yupo bize kusalimiana na watu mbalimbali ikiwemo kuwapa mikono wachezaji
wake.
No comments:
Post a Comment