Kwa Davido, Tanzania itaendelea kukaa katika nafasi muhimu sana moyoni
mwake. Katika wakati ambao wengi tunadhani ameisahau, hitmaker huyo wa How
Long, ameibuka na kuthibitisha kuwa bado ana mapenzi tele na ya milele kwa nchi
ya Magufuli.
Ameufungua
moyo wake kwenye post ya Diamond katika mtandao wa Instagram ya show yake ya
mjini Harare nchini Zimbabwe – Watora Mari iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
Kwenye post hiyo ya show hiyo iliyofana na kushuhudia
akiujaza ukumbi mkubwa wa HICC akiwa na mwenyeji wake Jah Prayzah, Diamond
aliandika:
This Song Called #NumberOneRemix it has more than 18.5 Million Views on Youtube….. Go watch it and enjoy the Mix of Bongo flavour and Naija.”
This Song Called #NumberOneRemix it has more than 18.5 Million Views on Youtube….. Go watch it and enjoy the Mix of Bongo flavour and Naija.”
Post hiyo ilimkuna Davido
aliyeandika na kujibiwa na Diamond kama inavyoonekana hapo chini:
Kama ambavyo Jah
Prayzah anamshukuru Diamond kwa kumtambulisha kwenye ramani ya muziki wa
Afrika, Diamond atamshumkuru milele Davido kwa kumpa shavu kwenye remix ya
Number One iliyompa staa huyo wa Tanzania umaarufu mkubwa.
No comments:
Post a Comment