Marekani
imetangaza marufuku kwa vifaa vingi vya eletroniki kwa abiria wanaosafiri
kutoka mataifa ya Misri , Morocco na nchi zingine sita zenye waislamu wengi.
Idara ya
usalama wa nchi inasema kuwa watu wenye siasa kali wanatafuta mbinu za
kuangusha ndege.
Mabomu
yanaweza kufichwa ndani ya laptopu, tabiti, kamera, vifaa vya kucheza DVD na
vya michezo ya eletroniki.
Marekani
yapiga marufuku laptopu na tabiti kutoka mataifa 8
Maafisa
nchini Marekani wanasema kuwa mashirika tisa yakiwemo ya Egypt Air na Royal Air
Maroc, yamepewa muda wa saa 96 kuanzia leo Jumanne kupiga marufuku vifaa
vikubwa kushindasimu kutoka kwa ndege.
Haijatangazwa
ni lini marufuku hiyo itafika mwisho.
No comments:
Post a Comment