Mshambuliaji
wa zamani wa Klabu ya Chelsea ya England, Chris Sutton, amesema kocha wa
Arsenal Arsene Wenger ni mbinafsi kwa kuwa anaendelea kuwa kimya juu
mustakabali wake wa kuendelea kuinoa Arsenal
Akizungumza
na Sutton amesema Wenger ni kama Mjomba anayengangania kutokutoka
katika tafrija. Na amekua akiirudisha timu nyuma siku zinavyozidi kwenda.
"Amekua
akifeli katika nyakati za soko la usajili, fanya jambo sahihi kama huwezi
tuambie huwezi ." ameeleza mchezaji huyo.
Wenger
alianza kunioa klabu ya Arsenal toka 1996, na mara ya mwisho kutwaa ubingwa wa
ligi kuu ilikua ni mwaka 2004 na sasa timu inashika nafasi ya sita katika
msimamo ligi.
No comments:
Post a Comment