Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivi hafikirii kufunga ndoa na mchumba wake Mnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababu haamini kila mahusiano ni lazima yaishie kwenye ndoa.
Jaydee ametoa siri hiyo leo alipokuwa akipiga stori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kuwataka watu wasitegemee jambo hilo kwake na wasikariri kila mahusiano yataishia kwenye ndoa, kwani wapo waliokimbilia ndoa na zikawashinda.
No comments:
Post a Comment