Unatamani kumuona Bird Man ambaye pia ni bosi wa lebo ya Cash Money? Basi atakuwa mgeni wetu kuanzia mwakani.
Kupitia mtandao wa Instagram, Bird amethibitisha kuwa ifikapo mwezi February atafanya ziara katika bara la Afrika na atatembelea nchi tano moja wapo ikiwemo ni Tanzania.
Nchi nyingine ambazo atatembelea rapper huyo ni Nigeria, Kenya, Gambia na Ghana.
No comments:
Post a Comment