Pakistan Paokoa Familia Iliyotekwa na Taliban Miaka 5 Iliyopita - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday 13 October 2017

Pakistan Paokoa Familia Iliyotekwa na Taliban Miaka 5 Iliyopita

Pakistan Paokoa Familia Iliyotekwa na Taliban Miaka 5 Iliyopita
Jeshi la Pakistan limeiokoa familia moja ya watu watano raia wa Marekani ambao walikuwa wakishikwa mateka na wanamgambo wa Taliban wa Afghanistan.
Waliokolewa wakati wa oparesheni katika wilaya moja yenye makabila ya Kurram karibu na mpaka na Afghanistan.

Jeshi la Afghanistan halikuitaja familia hiyo, lakini raia wa Canada Joshua Boyle na mkewe raia wa Marekani Caitlan Coleman, walitekwa walipokuwa wakitembea nchini Afghanistan mwaka 2012.
Pakistani soldiers (file photo)Haki miliki ya pichaEPA

Video ya mwisho ya wawili hao ilitolewa Disemba mwaka uliopita wakati walionekana wakiomba nchi zao kuwaokoa.
Walionekana wakiwashika watoto wao wadogo wa kiume waliozaliwa wakiwa wameshikwa mateka.
Abu Bakr al-Baghdadi yuko wapi?
Haikujulikana ni lini video hiyo ilirekodiwa, lakini ilitolewa baada ya uvumi kusambaa mjini Kabul kuwa serikali ilikuwa ikipanga kumnyonga Anas Haqqani, mtoto wa mwanzilishi wa mtandoa wa Haqqani ambaye amekuwa akizuiliwa tangu mwaka 2014. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here