Young Dee apunguze mitandao ya wanawake – Gigy Money - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 10 October 2017

Young Dee apunguze mitandao ya wanawake – Gigy Money

Video Vixen Bongo aliyejitosa katika muziki wa Bongo Flava, Gigy Money amemshauri Young Dee kupunguza mitandao ya wanawake.

Gigy Money ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake ‘Papa’ ameiambia E-Newz ya EATV kuwa kutokana na umri wake ni vema angetulia na aliyekuwa mpenzi wake, Amber Lulu.
“Kiukweli apunguze mitandao ya wanawake unajua ina mchanganya halafu ukiangalia umri wake mdogo angetulia tu na Amber Lulu kwa sababu anampenda sana,” amesema Gigy Money.
Ameongeza kuwa katika wanawake mia wanaompenda Young Dee Lulu ndio anampenda sana na wengine majina tu, huku akieleza kuwa wawili hao hawajahi kuachana kama inavyokuwa ikiripotiwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here