Baada ya Kukaa Kimya Muda Mrefu Wema Sepetu Arusha Bomu Hili Kuwashtua Mashabiki Wake - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday 7 January 2018

Baada ya Kukaa Kimya Muda Mrefu Wema Sepetu Arusha Bomu Hili Kuwashtua Mashabiki Wake



SUPASTAA wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu leo ametupia picha mpya kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram,
zikimuonesha akiwa na mwonekano mpya ambapo muda mfupi baadaye, mashabiki zake walianza kutoa maoni yao, wengi wakionesha kufurahishwa na mwonekano wake mpya.
Mashabiki hao wamembatiza Wema kwa jina jipya, wakimuita Malkia wa Instagram Tanzania au mwenye insta yake kaja.





No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here