SoudyBrown Afanya Utani Mkali kwa Idris Baada ya Kupiga Picha Nusu Utupu - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday 7 January 2018

SoudyBrown Afanya Utani Mkali kwa Idris Baada ya Kupiga Picha Nusu Utupu


Baada ya Bongo superstar (Comedian) Idriss kupata dili kutoka kwa calvin klein nakuanza kupost picha akiwa amevaa boksa ambapo awali wengi walimshambuliwa kwa muonekano huo, na baadae kupost kwenye ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa pamoja walimwambia kuwa anakiba.....


utani huo umezidi kushika hatamu kwenye mtandao huo wa kijamii wa instagram baada ya mtangazaji  soudybrown kupost picha ambayo imeonyesha tafsiri ya maajibizano ambayo yalikuwa yanaendelea. 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here