Baba Diamond Ampa Somo Zari The Boss LAdy..Diamond Hajaoa Atulize Mshono - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday 8 January 2018

Baba Diamond Ampa Somo Zari The Boss LAdy..Diamond Hajaoa Atulize Mshono


Baba mzazi wa msanii Diamond Platinumz, Mzee Abdul ameibuka na kuingilia kati malumbano kati ya wanawake wawili Zarinah Hassan na mwanamitindo Hamissa Mobeto waliozaa na mwanae Diamond Platinumz, akiwasihi waaache kurushiana vijembe mtandaoni kwani hakuna mke halali wa kijana wake.
Hivi karibuni kumetokea gumzo mtandaoni kati ya Zarinah na Hamissa Mobeto wakirushiana maneno ya kejeli na dharau ambayo kwa namna moja au nyingine ni maneno ya kubomoa.

“Maneno wanayotoleana mitandaoni ni mabaya na yananichukiza mno’’ amesema Mzee Abdul.

‘’Ninawasihi hawa wanawake waache malumbano katika mitandao ya kijamii, kwa sababu kila mmoja amezaa hivyo wote wana nafasi na haki sawa kwa vile hakuna aliyeolewa hadi sasa’’ ameeleza bab Diamond.

Aidha amesema kuwa mwanaye bado hajaoa na huenda mmoja wao akaolewa lakini mwingine akapewa heshima yake kama mzazi,

Amesisitiza kuwa kua uwezekano mkubwa kwa wote wawili kuolewa kwani dini ya mwanae inamruhusu.

Mzee Abdul amemalizakwa kusema kuwa ana uhakika kuwa kila mmoja Kitu mmoja kwa kitendo cha kuzaa na mwanaye, ataambulia chochote kitu kwani wana haki

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here