Watu waliookolewa ni pamoja na maofisa usalama wa nchi hiyo.
Msemaji wa kundi la Taliban alikataa kusema chochote kuhusu
tukio hilo.
Hii ni awamu ya mwisho katika muendelezo wa uokoaji wa wafungwa
katika jimbo la Helmand.
Helmand ndio eneo linalokithiri kwa mapigano baina ya Taliban na
vikosi vya serikali wakiwania kuthibiti maeneo muhimu ya jimbo hilo.
No comments:
Post a Comment