Basi la kampuni ya Hood linalofanya
safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana mchana lilipata ajali na
kupinduka katika mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la
mafuta.
Katika ajali hiyo mtu mmoja
amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa. Kati ya majeruhi hao 25 wapo
Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa.
No comments:
Post a Comment