Hakimu Deen Potter alitoa matamshi
hayo wakati alipokuwa akimhukumu kijana huyo mwenye umri wa miaka 16 kutokana
na shtaka la wizi.
''Kama wewe alikuja hapa kutokana
na hali ya kutisha na yenye kiwewe'',alisema hakimu,''lakini sasa ameweza
kuepuka''.
Nyota huyo wa mziki wa Hip Hop kwa
jina Curtis Jackson anayezingirwa na utata aliipata umaarufu baada ya kuwa
jkatika maisha ya uhalifu ,dawa za kulevya na ghasia.
Kijana huyo alikuwa anakabiliwa na
mashataka 49 baada ya kuiba mali yenmye zaidi ya thamnai ya dola 7,000.
''Katika kipindi cha miaka 10 ijayo
nataka kukuangalia na kuona mafanikio yako''
No comments:
Post a Comment