Kimbunga hicho kimekadiriwa kuwa ni
kimbunga cha hali ya juu kabla ya kuwasili kwake.
Rais Rodrigo Duterte, ambaye yupo
ziarani nchini Uchina kwa sasa amesema huduma za hali ya hatari tayari
zimepangiliwa.
Makumi kati ya maelfu ya raia wapo
katika makazi ya muda.
No comments:
Post a Comment