Mkuu wa hilo jeshi Gray Volesky
amesema kikosi chake kimeona ishra kwamba wapiganaji wa IS wameondoka katika
mji huo.
Lakini amesema alitarajia kuwakuta
baadhi ya wapiganaji wa kigeni wa kundi la IS kwa sababu ingekuwa vigumu kwao
kukimbia ukilinganisha na wapiganaji wenyeji wa Iraq.
Ameongeza kuwa kunauwezekano wa
kutokea mapigano Mosul lakini vikosi vya ulinzi vya Iraq vimeendelea kusonga
mbele.
No comments:
Post a Comment