Mwanamuziki mkongwe wa nchini Kenya na aliyewahi kuwa Principal kwenye
mashindano ya Tusker Project Fame, Achieng Abura amefariki dunia.
Kwa
mujibu wa The Standard, amefariki Alhamis hii kwenye hospitali ya taifa ya
Kenyatta jijini Nairobi. Bi. Abura alikuwa amelazwa katika wodi binafsi
akitibiwa ugonjwa ambao haujajulikana.
Bi. Abura Alifariki dunia mida ya
saa 12 jioni. Mapema mwezi huu, muimbaji huyo aliandika kuwa afya yake si nzuri
na madaktari walimshauri aongeze uzito kisha kuupunguza kupitia mazoezi.
Chanzo cha karibu na familia yake
kilidai kuwa alihamishwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi baada ya hali yake
kuwa mbaya.
Wasanii mbalimbali wa Kenya
wametuma salamu zao za rambirambi kupitia mitandao ya kijamii. Hawa ni baadhi
yao.
Avril
My day ends on a sad note..don’t
know what to say…RIP Achieng Abura :'( ..
Nameless
So sad to hear of your passing dear
sister….Rest in peace Achieng Abura.
Akothee
You’ve done your part….it’s a
journey…I mourn you ! RIP #RIPAchiengAbura
Sauti Sol
Our heartfelt condolences to the
family and friends of the late Achieng Abura. She was a natural talent, mentor
to us all. This is a big blow to the music industry! #Rip #RipAchiengAbura
#Shujaa
The King Kaka
Rest In Peace.
Achieng Abura.
Safiri Salama, tutaonana Baadaye.
Achieng Abura.
Safiri Salama, tutaonana Baadaye.
Amani
R.I.P. Achieng Abura …a
lovely woman who was passionate about music #legend
No comments:
Post a Comment