Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa
Elimu ya Juu inatangaza orodha ya majina ya Wadaiwa Sugu ambao wamehitimu
katika Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu kuanzia mwaka wa masomo
1994/1995.
Wasugu hao wanapewa siku 30 kulipa
madeni yao ndani ya muda huo kabla hatua za kisheria hazijachukuliwa na
wahusika kulazimika kulipia gharama za kuwasaka na kuendesha kesi.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0763 459
165 au 0767 513 208 au tembelea ofisi zetu za Makao Makuu, Dar es salaam au
ofisi zetu za kanda zilizopo Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Arusha.
Kuona orodha hiyo bofya viunganishi
vifuatavyo:
No comments:
Post a Comment