Nilijua hili linaweza kutokea muda si mrefu. Baada ya Rich Mavoko na
Diamond kuweka utani katika wimbo wao mpya Kokoro tuhuma za meneja wao, Sallam
kuzima mic wakati Alikiba anatumbuiza kwenye tamasha la Mombasa Rocks mwezi
uliopita na post ya Diamond kuwa ‘Kushindana
na Wasio Jua Raha sana hahahahahaham #Hawatoweza, Ommy Dimpoz amejibu.
Ommy
Dimpoz amejibu kwa kuandika:
Wazee Wa Kupanik Mbona Kama Povuuu
Linawatoka #TeamMzikiMzuri VS #TeamUjanjaUjanja
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo
#Kajiandae
#KabaliYao
#WeDontBuyViews
#MeNilijuaTunafanyaMzikiKumbeVitaaa
#NawajuaWazeeWaKuchambaNataniaTu
#PiaNawajuaKwaMitusiLakiniNishajiandaa
#NawaachiaUwanjaMweupeeeWalaSiblokuMtu
#NachangamshaBarazaKidogoooo
Kwenye post hiyo Ommy ametupa
shutuma kwa Diamond kuwa hununua views Youtube na kwamba hufanya muziki wa
ujanja ujanja.
Diamond alijibu kwa post iliyobeba
tuhuma nzito kwa Ommy Dimpoz.
“Mtoto wa Kiume kumchukia Mwanaume
Mwenzio kisa Kakataa kukupumulia nayo ni #KOKORO.”
Kupumuliwa ni msemo wa mtaani
unaomanisha mwanaume kuingiliwa kinyume na maumbilie. Kwa miaka takriban miwili
sasa Diamond na Ommy Dimpoz waliowahi kuwa maswahiba hawaelewani.
No comments:
Post a Comment