Kocha wa timu ya West Ham United inayoshiriki ligi kuu ya
Uingereza, Slaven Bilic ameendelea kusisitiza kuwa hata kubali kumuachia kiungo
wa timu hiyo, Dimitri Payet kuondoka klabuni hapo.
Bilic
amesema kuwa Payet hataondoka klabuni hapo na amedhamiria kumsainisha mkataba
mpya ambao utawathibitishia mashabiki wa timu hiyo kuwa mchezaji wao kipenzi.
“The Chairman came out and said
during the Euros [that he was staying] when the speculation started. We are
delighted to have him and he is our player. We want him to stay as our player.
It would help us a lot if he could score another big goal against Tottenham on
Saturday!,” amesema kocha huyo.
Mpaka sasa timu kubwa kadhaa
zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili mchezaji huyo ikiwemo PSG ya Ufaransa
ambayo imedaiwa kupanga kutoa ofa kubwa kwenye dirisha dogo la usajili la mwezi
Januari, mwakani.
No comments:
Post a Comment