Masoko ya hisa duniani yameanza kulegalega na yale ya Marekani
yakielekea kwenye anguko kubwa kutokana na matokeo ya Urais wa nchi hiyo
yanayoendelea kutoka, kuwashangaza wawekezaji duniani.
Donald
Trump anaongoza dhidi ya mpinzani wake Hillary Clinton.
Hadi sasa hisa za Dow Jones
zimeshuka kwa pointi 800 au 4.4%. Hiyo inalifanya soko la hisa la Marekani
kushuka kwa asilimia kubwa tangu August 2011 liliposhuka kwa 5.5%.
Wawekezaji wengi duniani wanaamini
kuwa kutotabirika kwa Trump na msimamo wake kibiashara, kutasababisha anguko na
hasara kubwa iwapo akishinda.
No comments:
Post a Comment