Mke wa msanii wa muziki Marlaw, Besta wiki iliyopita
amejifungua salama mtoto wa tatu wa kike.
Muimbaji
huyo ambaye yupo kimya kwenye muziki wa muda mrefu amesema alijifungua Novemba
10 mwaka huu.
“Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijalia
kupata mtoto wangu wa tatu salama 10th Nov wiki iliyopita. #NiBabygal
#BabyBrence #BabyAngelina Angelina ni jina la bibi upande wa baba,” aliandika
Besta kupitia instagram yake
Mapema mwaka jana muimbaji huyo
awaahidi mashabiki wa muziki wake kuachia kuachia albamu lakini hali imekuwa
sivyo kama alivyoahidi.
No comments:
Post a Comment