Pascal Wawa akiwa na vingozi El Merreikh na kusaini mkataba
wa miaka miwili
Mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Azam
FC ya Dar es Slaam Tanzania Pascal Wawa.
Amerejea
katika klabu yake ya zamani ya El Merreikh ya Sudan na kusaini mkataba wa miaka
miwili.
Baada ya siku chache zilizo pita
kueleza kuwa kocha Zeben Hernandez ambaye anainoa Azam FC kuonyesha hamuitaji
katika mipango yake.
Wawa alikuwa kati ya beki tegemeo
wa Azam FC, lakini alianza kuyumba na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza
baada ya kuwa majeruhi.
No comments:
Post a Comment