Rais Jose Mario Vaz ndiye raia wa kwanza aliyechaguliwa tangu yafanyike
mapinduzi ya kijeshi mwaka 2012.
Rais
wa Guinea-Bissau Jose Mario Vaz amewafuta kazi mawazi wake wote.
Nchi ambayo ilionekana kuwa mfano
wa maendeleo ya bara la Afrika, Guinea-Bissau sasa ni moja nchi maskini zaidi
duniani, ambayo mara nyingi hukumbwa na misukosuko ya kisiasa na kijamii.
Mwaka 2015, mwaka mmoja baada ya
kuingia madarakani Raia Vaz, alimfuta kazi waziri wake mkuu na mwanachama
mwenzake Domingos Simoes Pereira, kufuatia tofauti kati ya wawili hao ikiwemo
kuteuliwa kwa mkuu mpya wa majeshi.
Bacijo Ja baadaye alichukua mahala
pa Pereira lakini hilo halikumaliza mzozo wa kisiasa nchini humo.
Hata hivyo Baciro Ja na baraza lake
lote walifutwa kazi.
No comments:
Post a Comment