Diamond Platnumz ni bingwa wa kusababisha povu kwenye mitandao ya
kijamii. Jumanne hii alisababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya
kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia
kiboxer cheusi.
Kwenye picha hiyo, Diamond
aliandika: Straight
from the Changing room!…I think i need to go back to the gym so that i can be
more flexible on m 24th Pre-XMass Parformance in Dar Es Salaam.
Licha ya kufunika kwa emoji kwenye
eneo la sehemu zake za siri, selfie hiyo imesababisha hisia tofauti huku wengi
wakimponda staa huyo kwa kukosa staha.
Hizi ni baadhi ya comments:
isaac_siame: @diamondplatnumz
sitaki kuamini kama mawaziri kama nape au makamba watatamani kuja tena wcb
kuonana namsanii wa namna hii, hii itakucost au imekucost tayari @babutale
busara zako azijatumika kushauri hii naanza kuona misingi ya heshima ulioitunza
kwa mda mrefu ikipotea
tausizehemasaleh: You ‘ve a
beautiful soul but I think sometimes you go over board,remember to much is
given .much is expected,I respect the path Mom Tee is taking,don’t neglect her
advices,you may need them sometimes,Big love small bro
yahyakiwera8646: Nduguyangu nakuusia
usidanganyike nahizi like nacomment kumbuka weweni muislamu nautazikwa kiislamu
kuogope mungu kwanza niharamuvhizo tatoo ukiswali swalazako haziswihii
ukiogajanaba halitoki nduguyangu unapotea HAWA wanao like wote kaburini
hatakuwepo utakua pekeyako namatendoyako iwemazuri au mabaya je utaponaa?
Ilahuu WANGU niukumbushotu kwako nikutakie mabadiliko usijekusema hukuambiwa
buree miminisha kuambia
swaum1140: Mmmm jaman mm hapo hapan
nasibu sio nzuri hyo pic kwa kweli kumbuka wew ni baba now sio pich nzur
kumbuka IPO cku tifa ataiona alaf itakua aibu kubwa uxifany hvy bhana hapo mm
sijapenda kabisaaa
ommie_latino26: Bro huo ni ujinga
una familia sasa ina maana hapo tiffah aje aone dudu ya baba au
its_mancrowdtz: Endeleeni kukaa
uchi kusuka kuchora tattoo na upuuzi mwngne..kibaya zaidi watu wanawafuata
nyinyi km ma role model kwahy dhambi atakayofny kwa kuwaiga nyie mnaandikiwa na
nyinyi…mtu anaefanya uovu hadharani ana hasara kubwa kuliko yule anaefny kwa kujificha@officialalikiba@diamondplatnumzAllah
awaongoze kwakweli
nelyhassan: Huyu ni shetani hata
muziki siku hizi hana pole kaka umebadilika sana sio diamond yule wa kitambo
duh huruma jamani
No comments:
Post a Comment