Tuzo za EATV AWARDS zataja vipengele vingine viwili vya filamu - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 10 November 2016

Tuzo za EATV AWARDS zataja vipengele vingine viwili vya filamu

   safaria-ya-gwalu
Tuzo za EATV (EATV AWARDS) zimetangaza wasanii wengine kumi wanaoshiriki katika vipengele viwili vipya ikiwa ni siku moja toka watangaze vipengele viwili.

Wasanii waliotangazwa leo ni katika kipengele cha filamu bora ya mwaka na kipengele cha muigizaji bora wa kike.
Kipengele cha muigizaji bora wa kike 
Nominee: Chuchu Hansy (Laura)
Nominee: Khadija Ally (3 Days)
Nominee: Frida Kajala Masanja (Hii ni laana)
Nominee: Rachael Bitulo njingo (Nimekosea wapi)

Kipengele cha filamu bora ya mwaka
Filamu iliyoingia- Safari ya gwalu
Filamu iliyoingia- Hii ni laana
Filamu iliyoingia- Mfadhili wangu
Filamu iliyoingia- Nimekosea wapi
Filamu iliyoingia- Facebook profile

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here