Shirika la utangazaji Uingereza BBC November 2016 limetangaza rasmi
majina ya wachezaji watano wa Afrika wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka
2016 wa BBC, majina hayo matano yalitajwa live katika kipindi cha TV.
Mshindi
wa hiyo tuzo ya BBC 2016 atatangazwa December 12 2016 live kupitia BBC Focus On
Africa TV na radio.
Hii ndo list kamili ya wachezaji watano
Sadio Mane (Liverpool/Senegal)
Yaya Toure (Man City/Ivory Coast)
Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
Andrew Ayew (West Ham United/Ghana)
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/Gabon)
Sadio Mane (Liverpool/Senegal)
Yaya Toure (Man City/Ivory Coast)
Riyad Mahrez (Leicester City/Algeria)
Andrew Ayew (West Ham United/Ghana)
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund/Gabon)
No comments:
Post a Comment