Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa katika
uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo klabu ya Yanga watakua wenyeji wa Ruvu Shooting.
Mabingwa watetezi wa ligi hiyo klabu ya Yanga watakua wenyeji wa Ruvu Shooting.
Vinara
wa ligi hiyo Simba walipoteza mchezo jana huko mkoani Mbeya dhidi ya Tanzania
Prison kwa mabao 2-1 na kuwa mchezo wao wa pili kupoteza.
Msimamo wa ligi ulivyo sasa Simba
wanaongoza ligi wakiwa na alama 35, huku wakiwa wamecheza michezo 15, Yanga
wako nafasi ya pili kwa alama 30 wakiwa wamecheza michezo 14.
Azam ana alama 25 nafasi ya tatu
huku wakiwa wamecheza michezo 15. Kagera Sugar wana alama 24 kwa michezoi 15
wako nafasi ya nne.
No comments:
Post a Comment