Mkurugenzi
wa shirika la ujasusi la Marekani FBI James Comey, amethibitisha kwa mara ya
kwanza kabisa kuwa FBI, inaendesha uchunguzi wa madai kuwa Urusi iliingilia
kati uchaguzi wa rais.
Mkurugenzi
huyo wa FBI, alikuwa akizungumza katika kikao kisicho cha kawaida cha kamati ya
mkutano wa bunge.
Ambacho pia
inachunguza uwezekano wa kuwepo ushirikiano kati ya timu ya kampeni ya Trump na
Urusi.FBI pia itachunguza ikiwa uhalifu ulifanyika. Trump hata hivyo amekana
kuhusika kwa njia yoyote
No comments:
Post a Comment