Mwanamke inatakiwa uanze kujitambua mwenyewe – Christina Shusho - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 9 March 2017

Mwanamke inatakiwa uanze kujitambua mwenyewe – Christina Shusho

   
Msanii wa muziki wa Injili, Christina Shusho amewataka wanawake kujithamini na kujituma katika kazi ili waweze kutambuliwa na watu wengine katika jamii.

Shusho ameiambia TBC1 kuwa mwanamke hukutana na changamoto nyingi lakini akijitambua na kujithamini atashinda changamoto hizo.
Alisema, “Mwananmke anatakiwa apewe na nafasi na baada ya kupewa nafasi inatakiwa aanze kujitambua yeye mwenyewe, aanze kujipa nafasi, aanze kuonesha kile anachokiweza kabla ya mtu mwingine hajamuamini kumpa nafasi, so to raise our standard.”
Aliongeza, “Mama ni mtu mzuri sana, mama ajitambue na awe tayari kwa nafasi atakayokuwa nayo na aifanye kwa uaminifu,aibu ndogondogo hizi lazima tuwe tunaziondoa kwa upande wa wanawake tufute.”

By: Na Emmy Mwaipopo

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here