Vikosi vya
waasi na wapiganaji wa Jihad nchini Syria vimesema kuwa shambulio la hivi
karibuni walilotekeleza mjini Damascus, kubwa zaidi kutokea katika kipindi cha
miaka miwili ,linapeleka ujumbe kwa serikali siku kadhaa kabla ya awamu
nyingine ya mazungumzo ya amani yanayotarajiwa kuanza mjini Geneva.
Kuhusu
mkutano huo mjumbe wa Umoja wa Mataifa kuhusu Syria Staffan de Mistura amesema
pande zote zimethibitisha kuwa zitashiriki kwenye mazungumzo hayo
No comments:
Post a Comment