China hivi majuzi ilipinga mpango wa kumruhusu kiongozi wa
kidini wa Tibet Dalai Lama kutembelea taifa hilo na pia imepinga utengenezaji
wa miundo msingi ya kijeshi katika eneo hilo.
Lakini India imetetea haki yake ya kufanya hivyo.
''Huku China ikiendelea na ubishi huo ni wakati tunafaa
kuimarisha miundo misingi yetu ili kutetea eneo letu'' ,alisema waziri wa mdogo
wa maswala ya ndani nchini humo Khiren Rijiju ambaye ni mkazi wa Arunachal
Pradesh .
Bwana Rajiju awali alikuwa amesema kuwa Arunachal Pradesh ni
eneo la India na kwamba ukweli hautabadilika ''wapende wasipende''.
Ujenzi wa daraja hilo la la Dhola Sadiya ulianza mwaka 2011.
No comments:
Post a Comment