Steve Nyerere "Wanawake Kunigombania Mimi sio Dhambi" - OREST NGOWI

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Friday, 12 January 2018

Steve Nyerere "Wanawake Kunigombania Mimi sio Dhambi"

Responsive Ads Here
               1473187332510
Msanii Steve Nyerere anasema haoni ajabu wanawake kujigonga kwake kwa kuwa yeye ni super star hapa bongo na pia ana pesa chafu,


Steve ameenda mbali zaidi kwa kusema kuwa wapo wanawake wanapigana kwa ajili ya Will Smith wa marekani wengine wanaume wanapigana kwa ajili ya Kim Kardashian
Steve amesema kuwa kwa sasa anaishi na mwanamke na ana watoto

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad